Ubongo Kids - Hesabu za Panya, coming from the developer Ubongo, is running on Android systerm in the past.
Now, You can play Ubongo Kids - Hesabu za Panya on PC with GameLoop smoothly.
Download it in the GameLoop library or search results. No more eyeing the battery or frustrating calls at the wrong time any more.
Just enjoy Ubongo Kids - Hesabu za Panya PC on the large screen for free!
Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.
Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.
JIFUNZE:
-Thamani za namba
-Kujumlisha
-Kutoa
-Kusoma
Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?
Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.
Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.
"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.
KUHUSU UBONGO:
Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.
1. Download GameLoop from the official website, then run the exe file to install GameLoop
2. Open GameLoop and search for “Ubongo Kids - Hesabu za Panya” , find Ubongo Kids - Hesabu za Panya in the search results and click “Install”
3. Enjoy playing Ubongo Kids - Hesabu za Panya on GameLoop
OS
Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit
GPU
GTX 1050
CPU
i3-8300
Memory
8GB RAM
Storage
1GB available space
OS
Windows 8.1 64-bit or Windows 10 64-bit
GPU
GTX 1050
CPU
i3-9320
Memory
16GB RAM
Storage
1GB available space